Pages

Hii ndio ratiba ya soccer Tanzania bara weekend hii pamoja na msimamo wake hadi hivi sasa


Tukiwa tunaikaribisha weekend hii ndio ratiba na msimamo wa ligi kuu England (EPL)



VIDEO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akitangaza baraza la mawaziri

Soccer: Hivi ndivyo Arsenal walivyoonyesha maajabu katika kufuzu 16 bora UEFA

BREAKING NEWS: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.
 
WIZARA Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo Mazingira: Makamba Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma Ulemavu: Mavunde Kilimo, mifugo na uvuvi: Mwigulu Lameck Nchemba, Nashe naibu Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani. Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nmemteua mbunge na waziri, Naibu Dr Suzan Ulinzi na kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula Utalii: Waziri bado Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage Sayansi na ufundi: Naibu ni Stella Manyanya Afya na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks