Pages

Hii ndio ratiba ya soccer Tanzania bara weekend hii pamoja na msimamo wake hadi hivi sasa


Tukiwa tunaikaribisha weekend hii ndio ratiba na msimamo wa ligi kuu England (EPL)



VIDEO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli akitangaza baraza la mawaziri

Soccer: Hivi ndivyo Arsenal walivyoonyesha maajabu katika kufuzu 16 bora UEFA

BREAKING NEWS: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.
 
WIZARA Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo Mazingira: Makamba Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma Ulemavu: Mavunde Kilimo, mifugo na uvuvi: Mwigulu Lameck Nchemba, Nashe naibu Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani. Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nmemteua mbunge na waziri, Naibu Dr Suzan Ulinzi na kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula Utalii: Waziri bado Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage Sayansi na ufundi: Naibu ni Stella Manyanya Afya na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala

Mabadiliko ya ratiba ligi kuu tanzania bara kwa timu zilizoshiriki kombe la mapinduzi Zanzibar

Baada ya michuano ya kombe la mapinduzi kumalizika haya ndio mabadiliko ya ratiba kwa vilabu vilivyoshiriki

January 20, 2015
Kagera Sugar Vs Azam

January 28, 2015
Simba Vs Mbeya City

February 04 , 2015
Coastal Union Vs Yanga

February 11, 2015
Azam Vs Mtibwa
Mgambo Vs Simba
Yanga Vs Ndanda

February 21, 2015
Yanga Vs Mbeya City

February 25, 2015
Mtibwa Vs Tanzania Prisons

February 28, 2015
Simba Vs Mtibwa

March 04 , 2015
Ruvu Shooting Vs Azam
JKT Ruvu Vs Yanga
Mtibwa Vs Polisi Morogoro

Ratiba ya ligi ya mabingwa ulaya mwezi February 2015


Msimamo wa Ligi kuu England katika mechi 21 zilizochezwa


Ratiba ya ligi kuu England Weekend hii


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks